NIMEKOSA Lyrics
NIMEKOSA NIHURUMIE
Chorus: Nimekosa, nimekosa, nimekosa Baba nimekosa nihurumie
1. Nimeyasema yasiyofaa ( kwako) Nimeyatenda yasiyofaa (Baba)
Nimekosa ( nimekosa) nihurumie
2. Nimeyaona yasiyofaa (tena) nimesikia yasiyofaa (Baba)
Nimekosa (Nimekosa) nihurumie
3. Kwa sababu ya matendo yangu (haya) jina lako latukanwa bure (Baba)
Nimekosa (Nimekosa) nihurumie
4. Ninaleta familia yangu (kwako) ninayatubu makosa yao (yote)
Nimekosa (Nimekosa) nihurumie
5. Ninaleta Kanisa lote (kwako) ninawaleta na viongozi (wake)
Nimekosa (Nimekosa) nihurumie
Comments